MENU

Aslay x Alikiba - Bembea 「Lyrics」

Nah nah nah nah nah nah nah...
Wapi unawaumizaga
Niambie tuwakomeshe
Tuwakomeshe vishadai



TOP 1 Jamhuri ya Kenya


Aslay x Alikiba - Bembea 「Lyrics」

Nah nah nah nah nah nah nah...
Wapi unawaumizaga
Niambie tuwakomeshe
Tuwakomeshe vishadai
Wavimbe wateseke

We nipende tu
Nipe na nyota nitembelee
Wachawi viga kura
Beiby tushikane tuwakemee

We ni doctor mi mgonjwa
Ndo maana nikikuona


Mwenzako ninapona

Umenijaa akilini
Ndo maana nakutaja
Mwenzako kila ngoma

Beiby, tuifiche hiyo siri
Tusionyeshe dhahiri
Huwanga wanasubiri
Waone utavyonimwaga

Wa mbili awe mbili
Wa kwanza tuwe wa kweli


Ah nataka ta takataa
Natakata na penzi lako
Na nitadata nitadata
Ukininyima hicho ulichokuwa nacho

Naridhika ridhika
Naridhika na huba lako
Nakuahidi nitakufa
Nikija kulikosa hilo penzi lako

Bembea, mahabuba bembea oooh
Bembea, nakuruhusu ning'inia
Kwenye moyo wangu
Bembea, lazizi bembea oooh


Bembea, mwenzako nasikia raha sana

Nasi tunazima data
Simu zao tunakata
Tudanane kama mapacha
Wawili wawili, wawili twende mbele

Ulivyo mtamu ratili
Sukari usiongezee
Ujuzi unao, uzuri unao nashiba
Mahaba ilegezee eeh

Ah ukinigusa nasisimua
Jaa jaa bigwa wako sasambua


Umeniweza mtoto wa kishua
Shida zangu zote unatatua

Ndo maana nakupenda
Palipo ufa tujenge
Usisikize wapambe wee
We nipende nikupende

Na ndio maana nakupenda

Tuifiche hiyo siri
Tusionyeshe dhahiri
Huwanga wanasubiri
Waone utavyonimwaga



Wa mbili awe mbili
Wa kwanza tuwe wa kweli
Wambeya wanasubiri wapate
Cha kusemaga

Bembea, bembea unawamaliza
Bembea, wakose cha kusemaga
Hakuna kutafuna

Bembea, bembea unawamaliza
Bembea, wakose cha kusemaga
Hakuna kutafuna


More lyrics by ASLAY