MENU

Sina Bahati - Anjella 「Maneno Nyimbo」

Mmmh mmmh mmmh mmmh
(Oh yeyeyeyee)
(Oooooooh)
(Eeeh)


Sina Bahati 「Maneno Nyimbo」 - Anjella

Mmmh mmmh mmmh mmmh
(Oh yeyeyeyee)
(Oooooooh)
(Eeeh)
Mbio za sakafuni huishia ukingoni sikujuaa
we nenda salama mi najiuguza,
wameshakurubuni fadhira zangu uzioni natambua
siwezi kung'ang'ana ushanipunguza,
(Eeeh)
Me najisi bahati sina sio wa leo sio jana
bora ungesema mapema kama kuna kosa nilikutendea
, uliniahid utailinda heshima hutoifanya dana
kumbe hata yale maneno ulosema uliniongopea


(Ooh bababaaa)
kuumbe siri ya mutungi aijuaye kataaa
(Ooh bababaaa)
moyo umeumbwa kupeenda mwengine ntapata
(Ooh bababaaa)
Na yakiisha mavumbi mafua yatakata
(Ooh bababaaa)
Oh ukweli hauvuungwi kwenye penz lako labdaaa

Sina bahati
(yeyeyeyeyeee)
Sina bahati
(yeee eeh)
Oh sinaaa


Sina bahati
nishajaribu kufosi hadi kupiga ndele
sina bahati
Ila bado ni mikosi acha niende mbele eeh

Sishindani na upepo kwa mbio ulimi niguse sikio
mie kichwa nijigeuze kalio bure ntajiumiza
mizani haipimi gulio shetani haimbiwi pambio
sikuizi anajiita fagio anawamalizaaa eeeh
Kweli wema wangu umeniponza
hili fupa nani wa kulifyonza
umeniacha njia panda me naoza bila hurumaa
(Aaah)
masikini moyo umenichonza jahazi lazama ye nahodha


mateso kila likichomoza i wishi siku zirudi nyumaa aaaah
(Ooh bababaaa)
kuumbe siri ya mutungi aijuaye kataaa
(Ooh bababaaa)
moyo umeumbwa kupeenda mwengine ntapata
(Ooh bababaaa)
Na yakiisha mavumbi mafua yatakata
(Ooh bababaaa)
Na ukweli hauvuungwi kwenye penz lako labdaaa

Sina bahati
(yeeeyeye eeh)
Sina bahati
(yeee eeh)


Oh sinaaa
Sina bahati
nishajaribu kufosi hadi kupiga ndele
Sina bahati
Ila bado ni mikosi acha niende mbele eeh